TEN/MET Inawakaribisha kwenye Mdahalo wa Elimu Kitaifa
Mada:
Inawezekana kuwa na Wanasayansi na Wanamahesabu waliobobea, bila kuwa na maabara za Sayansi na Hisabati?
Lini? Alhamisi 28, Januari, 2010
Saa? 2:30 Asubuhi– 6:10Mchana
Wapi? Ukumbi wa Grand Villa hoteli, Kijitonyama, kando kando mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Nyuma ya Jengo la Sayansi
Ratiba
Asubuhi 02:30 - 03:00 Kujiandikisha
” 03:00 - 03:10 Kutambulishana (TEN/MET na Mwezeshaji)
” 03:10 - 03:30 Kujuana katika mazumngumzo ya pamoja
” 03:30 - 04:00 Mtoa mada 1
” 04:00 - 04:30 Mtoa mada 2
” 04:30 - 04:45 Maswali, Majibu na Maoni
” 04:45 – 05:30 Majadiliano vikundini
” 05:30 – 05:50 Mawasilisho ya vikundi
” 05:50 - 06.00 Hitimisho la Watoa Mada
Mchana 06:00 - 06.10 Vitafunwa, Matangazo na kufunga
Contact Florence F.K. This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it +255 22 2150793, Ya Mkononi 0782487796
Proceedings available: Click here and here
TEN/MET Invites you to the National Education Debate
Theme:
Is it possible to have scientists & mathematicians without mathematics and science labs?
When? Thursday 28th January 2010
Time? 8:30am– 12:10pm
Where? Grand Villa Hotel, Kijitonyama, behind the Science Building off Ali Hassan Mwinyi road
Programme
08:30am - 09 :00 am Registration
09:00am - 09:10 am Introduction (TEN/MET and the facilitator)
09:10 am - 09:30 am Getting to know each other
09:30 am - 10:00 am 1st Presentation
10:00 am - 10:30 am 2nd Presentation
10:30 am -10:45 am Clarifications, questions and brief answers
10:45 am – 11:30 am Discussions (Creativity of the presenters)
11:30 am – 11:50 am Plenary Presentations
11:50 am - 12.00 pm wrap up by presenters
12:00pm -12.10 pm Bites, announcements and closure
Contact Florence F.K. This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it Mobile 0782487796
Proceedings available: Click here and here
| < Prev | Next > |
|---|





